July 27, 2010

MDAU KATIKA VEKESHENI UJERUMANI


MDAU NAMBARI UNO GEORGE SIMON AKIWA VEKESHENI NCHINI UJERUMANI

4 comments:

Da G said...

Nakuona George Mzungu ndani ya Germany, full kujiachia... Wewe Msukuma rudi kwenu ukalime unafanya nini huko.

Mamuu said...

Oya wewe msukuma, rudi kwenu nani atalima kama utakaa Germany, unakula raha tuu Bongo jua kali bora usirudi mtu wangu.

George said...

Nirudi kulima wakati jembe sina, mi nabaki na wazungu tuu, nyie kaeni Bongo wenyewe.

Khadija said...

Oya unarudi lini? Mtu kwao, hata kama jua kali...