September 15, 2010

DEKULA KUTIMUA VUMBI NDANI YA SILJA GALAXY

MAESTRO DEKULA KAHANGA VUMBI

MAESTRO VUMBI DEKULA NA KIKOSI CHAKE KAMILI KITAWABURUDISHA WAPENZI WA AFRICAN RUMBA TAREHE 8 OKT 2010 KATIKA BOTI LA SILJA LINE STOCKHOLM-TALLIN,HILI NI TAMASHA KUBWA NA LIMEANDALIWA NA RITZ SOCIETY AMBAYO LIMEFUNGUA NIGHT CLUB KATIKATI YA JIJI LA STOCKHOLM DEKULA BAND AU "NGOMA YA KILO" KWA WAPENZI WA MUZIKI SWEDEN ITAKUA MOJAWAPO NA WASANII KUTOKA KENYA,TANZANIA,UGANDA NA SENEGAL MWANAMUZIKI DEKULA AMEAHIDI KUTIMUA VUMBI SIKU HIYO NDANI YA SILJA GALAXY

www.ritzsociety.com
www.youtube.com/dekula2

No comments: