September 09, 2010

KINA MAMA WA KITANZANIA MAGWIJI WA SIASA ZA KIMATAIFA


Waheshimiwa Mabalozi Amina Salum Ali na Mwanaidi Maajar

Kina mama Watanzania waliobobea katika siasa za Kimataifa walipokutana jana kwa mazungumzo ya wiki katika ofisi za Umoja wa Afrika, Mjini Washington DC huko Marekani. Hawa ni Waheshimiwa Balozi Amina Salum Ali ambaye ni mwakilishi wa Umoja wa Afrika (African Union) nchini Marekani na Balozi Mwanaidi Maajar ambaye ni balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani

No comments: