September 22, 2010

COMING SOON

WALE WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KUTOKA MOMBASA KENYA WANATARAJIWA KUFANYA EUROPEAN TOUR KATIKA MIJI MBALI MBALI YA UJERUMANI,SWISS NA HOLLAN KWAHIYO WADAU KAENI MKAO WA KULA
CD YAO MPYA IPO TAYARI SOKONI NA KILA COPY NI EURO 5 (7 euro incl versand) NA INAPATIKANA SEHEMU HIZO HAPO CHINI

AFRO COLLECTION SHOP IN AUGSBURG
MAMBO BADO SOUNDS TEL. 01622685580
Malumbosjr. TEL 017636737351

PATA COPY YAKO SASA HUSINGOJE KUHADITHIWA

No comments: