September 21, 2010

Street Beggars Cartel

Hii ni Kazi ama Unyanyasaji wa watoto..?

Kwakweli nimesikitika sana baada ya kuona hii documentary ya Mtanzania aliewaiba watoto walemavu na kuwapeleka nchini Kenya na kuwafanya omba omba, Anawapeleka asubuhi na mapema sa kumi na Moja na kuwasambaza maeneo mbali mbali na usiku anawapitia kuwachukua na baaae anakusanya mafao, kijana huyo wakitanzania nchini Kenya hana kazi ingine zaidi ya hiyo hapo,Je hii ni sawa na watanzania wenzangu tunalizungumziaje swala hili? maana ni zaidi ya unyanyasaji wa wa watoto.
Mdau

1 comment:

heri said...

noma. watu wanavuka mipaka ya ubinadamu. huyo jamaa ananunua bati kwaajili ya kujenga nyumba yake tz. vizuri sana amekamatwa kabla hata ya kukimbilia tz. alaniwe sana huyo jamaa.