November 28, 2010

Msaada tutani

Haya tena wadau kuna mdau mwenzenu anaomba Msaada anamtafuta mzee wake anajulikana kwa jina mzee Omari Hamisi anapenda sana kuwa ktk Club ya Red Stars au Simba na Ilala Dar sehemu wanayouzia mitumba kwa mtu yoyote anayemfahamu naomba awasiliane na mimi kwa kupitia namba hii +4917636737351

Natanguliza shukurani

No comments: