February 21, 2011

ALI KIBA AWACHANGAYA VICHWA MUNICH


ALI KIBA KATI KATI YA NYOMI LA WAPENZI WAKE
ALI, MALUMBOS JR. NA MDAU KUTOKA SWISS
MAPAPARAZI


WADAU KUTOKA ZURICH
NYOMI

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KUTOKA TANZANIA ALI MWANA WA KIBA SIKU YA JUMAMOSI ALIMAZA TOUR YAKE KATIKA NCHI ZA SCHENGEN KWA SHOO KABAMBE NA YA KUKATA NA SHOKA KATIKA JIJI LA MUNICH NCHINI UJERUMANI SHOO HIYO AMBAYO ILIKUWA SIMULIZI KUBWA KWA WATU WA MUNICH ILIFANYIKA KATIKA CLUB MAARUFU MJINI MUNICH IJULIKANAYO KAMA JAMBO AFRICA

1 comment:

Anonymous said...

Huyo jamaa mwenye Durag Nyeupe ndio alikuwa baunsa wa Kiba nn...hehehe poa sana.

Mdau N├╝rnberg.