February 07, 2011

BERRY BLACK AWAACHA HOI MUNICH

BERRY BLACK AKIIMBA LIVE HUKU WASHABIKI WAKE WAKISHANGILIA KWA VIFIJORED IN RED
DJ. RAMA & BERRY BLACK

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA BERRY BLACK KUTOKA ZANZIBAR TANZANIA JUMAMOSI YA TAREHE 5.02.2011 ALIKAMILISHA EUROPEAN TOUR YAKE KWA KUFANYA SHOO YA MWISHO KATIKA JIJI LA MUNICH NCHINI UJERUMANI.

No comments: