June 09, 2011

Africa Festival Nürnberg‏ - Germany
Festival itaanza tarehe 09- 12.06.2011.
Sisi Talent Search and Empowerment(TSE) ni Ngo ambayo ipo Dar es salaam pale Ubungo Kibangu. Tunatoa huduma hizi kwa vijana kuanzia miaka 6- 20, haswa wale wanaoishi katika mazingira magumu. TSE tuna-Projects tofauti kama timu ya mpira wa miguu, ushonaji kwa wasichana, muziki- maigizo na kozi za computer.Hivyo katika Festival hii tutawaeleza watu kuhusu kazi zetu na vilevile tutaiwakilisha Tanzania kwa kuwapa watu Information tofauti kuhusu Tanzania.

Erick MomeNürnberg- Germany.

No comments: