August 24, 2011

TMTV,TANZANIA MUSIC TV

TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA
WOTE WANAOISHI NDANI NA NJE YA TANZANIA
KATIKA SIKU ZIJAZO ZA KARIBU TUTAFUNGUA
TELEVISHENI. CHANELI YA MUZIKI WA
KITANZANIA, KWA JINA LA TANZANIA MUSIC
TELEVISION {TMTV} (WWW.TMTV.CO.TZ) AMBAYO
ITAKUWA INAPATIKA KWENYE MTANDAO,
SETILATI,SIMU ZA MKONONI NA
VING'AMUZI(DECODER)

CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI
VIFUATAVYO:

1.BONGO BOX
2.SALAMU BOX
3.BENDI ZETU
4.TAARABU
5.ZILIPENDWA
6.NYIMBO ZA DINI
7.VIPAJI
8. HABARI ZA MUZIKI
9.SWAHILI HIP-POP
10.NYIMBO ZA UTAMADUNI
TUNAOMBA MAPENDEKEZO YENU KUPITIA:
ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI
BONYEZA HAPA KWA KUANGALIA CHANELI
KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA
KUDOWNLOD SOFTWARE YA MICROSOFT
SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA
AJILI YA KUDOWNLOD.

WENU

UTAWALA
TANZANIA MUSIC TELEVISION

No comments: