September 14, 2011

Mabadiliko ya Harambee Ubalozini Nchini Uingereza‏

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-Raģsing zilizokuwa zifanyike katika ubalozi wetu london siku ya jumamosi tarehe 17 septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa.
Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako


ASANTENI

MWENYEKITI,

TANZ-UK

No comments: