June 04, 2012

YAHAYA ALLY NDOMONDO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UKATIBU WA SIASA NA UWENEZI TEMEKE





Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Temeka Bi. Anastazia Mwonga kulia akimkabidhi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi Mkuu wa chama hicho

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22