July 29, 2012

WAISLAMU WAKUTANISHWA NA TAASISI YA ALNNA JAH‏

Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa ajili ya kuiunga mkono

Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akiomba duwa baada ya kufutulu na waislam wenzake Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa kuiunga mkono

Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu na kuiunga mkono

Baadhi ya waumini wa kiislamu wakiomba Duwa baada ya kumaliza kufuturu wakati wa kumtambulisha Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam

No comments: