July 29, 2012

Mahojiano na Mhe. Dr Faustine Ndugulile Part 1

Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya mapambano ya UKIMWI nchini Tanzania na pia harakati zake BUNGENI.

Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo.
Karibuni

No comments: