September 04, 2012

Julian Assange muasisi wa Wikilieaks‏

Kwa miezi miwili sasa, mwanahabari na mhariri wa tovuti ya WikiLeaks, Julian Assange, kajificha ndani ya ubalozi wa nchi ndogo ya Marekani Kusini, Ecuador, London, mtaa wa Knightsbridge. Assange anakabiliwa na mashtaka ya ubakaji na kufichua siri za serikali ya Marekani , mashtaka ambayo amekanusha akidai ni njia tu ya kumziba mdomo kama mfichuaji mambo na uhuru wa kusema. Urban Pulse na Freddy Macha tulitaka kufahamu zaidi...

Kipindi kizima kimerekodiwa na Urban Pulse Creative wakishirikiana na Freddy Macha

Asanteni

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22