MDAU J4 NA MAI WIFE WAKE BI TATJANA
CHANDA CHEMA UVISHWA PETE HAPA NDIO ILIKUWA WAKATI UMEWADIA
BIBI NA BWANA HARUSI WAKIMWAGA WINO KUASHIRIA KUWA KITU KIMOJA MPAKA HAPO MOLA ATAKAPOWATENGANISHA
WADAU WA AUGSBURG KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI
Mdau J4 leo siku ya J3 tarehe 29.10.12 ameamua rasmi kuihama Club ya ukapela na kuamua kufunga pingu za maisha na Bi Tatjana mbele ya msajili mkuu wa ndoa wa jiji la Augsburg
No comments:
Post a Comment