October 13, 2012

OTHMAN MIRAJI AMESTAAFU DEUTSCHEWELLE


Baada  ya miaka 35 ya utumishi na uaminifu katika Idhaa ya kiswahili ya Sauti yaUjerumani , Othman miraji siku Ijumaa tarehe 12.10.2012 ilikkuwa siku yake ya mwisho kazini kama mhariri mwandamizi.
Wafanyakazi wenzake wakiongozwa na Mhariri mkuu wa DW,  Bibi Ute Schäfffer na Mkuu wa idhaa ya kiswahili , Bibi Andrea Schmidt, walimfanyia karamu ya kumuaga na kumtakia kila la kheri na Afya njema katika Maisha yake ya baadae.

Picha kwa Hisani ya Sudi Mnette Dw. Bonn.

No comments: