Raisi Mwai Kibaki
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki ameuzuia mswada wa sheria ambao ungewawezesha wabunge kujipatia marupurupu kiasi cha dola 110,000 watakapomaliza mihula yao ya kazi bungeni mwishoni mwa mwezi Januari mwakani.
Uamuzi wa jana wa Kibaki ulifuatia kilio cha wananchi wakati nchi hiyo ikiwa imepandisha kodi zake kuziba pengo katika mahitaji yake ya fedha huku ikikabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi.
Bonyeza hapa kupata maelezo kamili
No comments:
Post a Comment