October 11, 2012

MAKOCHA WA MCHEZO WA NGUMI WAKIBADILISHANA UZOWEFU‏

 Kocha mkongwe wa masumbwi Nchuini Habibu Kinyogoli kulia akizungumza na kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi anaefundisha Timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila 'Super D; na kocha wa timu ya Taifa Mzonge Hassani wakati walipokutana katika kambi ya ngumi ya Ilala iliyopo Amana CCM Dar es salaam juzi 


Kocha mkongwe katika masumbwi, Habibu Kinyogoli 'Katikati'  akibadilishana mawazo na makocha wa mchezo huo kushoto ni Kocha wa timu ya Taifa Mzonge Hassani na Kocha wa Kimataifa wa mchezo uho anaefundisha timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Kimichezi ya Ilala Rajabu Mhamila 'Super D' walipokutana katika kambi ya ngumi Ilala Dar es salaam juzi 

No comments: