December 12, 2012

KING CLASS MAWE APELEKA SHANGWE KAMBI YA ILALA BAADA YA KUMTWANGA BONDIA WA TANGA‏

Bondia Said Mundi wa Tanga akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati walipokutana katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa point na kupeleka Shangwe katika Kambi ya Ilala 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akipambana na Said Mundi wa Tanga wakati wa mpambano wao uliofanyika hivi karibuni King Class alishinda kwa point na kupeleka Shangwe katika Kambi ya Ilala 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa na furaha baada ya kumpandisha bondia  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ulingoni na kumtwanga Said Mundi wa Tanga 
Mashabiki wa ngumi wakiwa na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Kocha wake Rajabu Mhamila 'Super D
Bondia Said Mundi wa Tanga akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati walipokutana katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa point na kupeleka Shangwe katika Kambi ya Ilala

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22