Muonekano kwa nje
Bathroom
Living room
Bedroom
Kitchen
Livingroom
Suluhisho kwa waTanzania wenye makazi ya kudumu ughaibuni wenye nia ya kuja kutembea Tanzania kwa ndugu zao na wanapenda kukaa kwenye makazi yao wenyewe na familia zao au kwa watanzania walioko nje ya mkoa wa Dar es salaam wanaopenda kuja DSM kwa muda
4T TARVEN inaruhusu wapangaji wa muda mfupi katika nyumba ambayo ina vyumba vitatu vyote fitted with AC, mengine ni hot water heater, Flat screen,nyumba ina unlimited supply of water, kuna generator incase of power failure na vyombo vya ndani (fridge, gas cookers etc )kwa ajili ya kujihudumia; usafiri toka airport ni bure kama unabook kwa siku 7 na kuendelea; ulinzi masaa 24
nyumba ipo Mbezi Louis off Morogoro Road ,
2 comments:
asante sana kaka
haya. tuchanganyie kiswahili na kiingereza. soon utachanganya na kidoich :)
Post a Comment