May 06, 2013

MAZOEZI YA REDD'S MISS KIBAHA YAPAMBA MOTO‏

Warembo wa Redd's miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao
Warembo watakaowania taji la Redd's Miss Kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa vijana Kinondoni Dar es salaam
Mkufunzi wa Warembo wa Redd's Miss Kibaha Rehema Uzuwiya akizungumza na warembo hawo wakati wa mazoezi yao yanayo endelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni 

No comments: