April 12, 2008

Club Twenty

Dj Ommy Boy ni maarufu sana Bavaria kwa miondoko ya Hiphop, R`n´B & Old school
Kulia ni mmiliki wa Club Twenty
Ommy Boy akijichanganya na wadau wengine katika miondoko ya Salsa Club Twenty

2 comments:

Anonymous said...

safi sana kaka kwa blog yako ila mcheki mjengwa ili aweze kuipa shavu mail ya mjengwa ni mjengwamaggid@gmail.com big up kaka kutoka Care Boys Kinondoni DSM

Anonymous said...

Mmmmh!mbona wabongo wa Germany wamechoka hivyo?