April 14, 2008

Msemo wa WahengaAma kweli wahenga walisema milima haikutani lakini Binadamu ukutana.Kushoto Othman Ukindo na Omari janabi.marafiki wa muda mrefu. hawa jamaa walipoteana sasa ni miaka kama 16 imepita hatimae wamekutana tena Ujerumani. hapo wapo Munich Airport Othman akimuaga Omari wakati anaelekea ktk makazi yake Sweden.

2 comments:

Anonymous said...

bado mnaonekana kama vile ndio 17 years old inatia moyo


by v

Anonymous said...

Kaka mwenye miwani unalipa,umeoa?weka contact zako basi!