April 12, 2008

Je tutafika ??????

Wanakijiji naomba ushauri wenu. Hawa jamaa kutoka ktk nchi fulani (jina kapuni) na katika nchi zingine za Afrika ndio matajiri wanaomiliki mali na makampuni makubwa. Huku ktk nchi zilizoendelea kazi zao ni kuuza maua kwenye madisko, bar na night clubs. Sasa makampuni makubwa yakiongozwa na wao watatutoa katika hali ya umaskini kweli? Wanakijiji nisaidieni.

No comments: