April 08, 2008

Mambo Bado Sound

maDj Poor Rasta & Rama wakiwapagawisha wadau wa Munich.
maDj Poor Rasta & Karim wakiwapa Ujumbe wadau ktk Big Part Munich.
Hawa ni MaDj ni machachari sana ktk miziki ya Bongo flava,ndombolo,rusha roho,R´N´B, Hiphop na Reggae hapo ktk mji wa munich

2 comments:

Anonymous said...

poa sana nimefurahi kuona maendeleo.

Anonymous said...

poor rasta weee mahammud numba one akusubiri na kichwa punda, 3round trip jubeli.