May 22, 2008

Get-together Party in Munich

Haya tena wadau wa Munich na vitongoji vyake ule wakati mliokuwa mnaungojea kwa hamu sasa umefika, Vijana wa kilimanjaor Stars wanawakaribisha katika Get-together party itakayofanyika siku ya Jumamosi ya Tarehe 07.juni. hapo Munich
kwa maelezo zaidi
www.kilimanjarostars.de

No comments: