MANENO MACHAFU NA KASHFA HAZINA NAFASI KATIKA KIWANJA HIKI.
TUNAKARIBISHA MAONI YENYE KUJENGA NA KUELIMISHA JAMII.
June 23, 2008
Harividachi Italia
Timu ya soka ya Spain leo wamefanikiwa kuingia Nusu fainali ya kinyanganyiro cha kumtafuta bingwa wa soka ulaya kwa kuinyaka Italy mabao 4-2 kwa kupigiana penalt baada ya kutoka sare katika dakika 120
No comments:
Post a Comment