June 01, 2008

Kilimanjaro FC stockholm


Hicho hapo juu ndio kikosi kamili cha timu ya mpira ya wabongo wanaoishi mjini stockholm wakiwa na mashabiki wao hapo picha ya chini baada ya kuwachapa jirani zetu wa uganda kwa mabao 11-0 pambano ambalo lilifanyika jana jioni hapo Stockholm. Ongera vijana endelezeni libeneke kama kazi.

1 comment:

Egidio Ndabagoye said...

Baab Kubwa inapendeza sana mkuu.

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22