June 01, 2008

Nyama Choma.

Mr & Mrs. Ntanda

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mai Shem. Richy, Sis. Linda na mai nanihi..2be...!!na wadau wote wa Stockholm kwa mapokezi na ukarimu walionipa wakati nilipokuwa huko, sitoweza kumtaja kila mmoja lakini naomba shukrani zangu ziwafikie wote.

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22