Schweinsteiger (mpanda nguruwe ) akiusindikiza mpira wavuni kufunga bao la kwanza kwa timu ya ujerumani
Klose, Price Poldi na Mpanda nguruwe wakishangilia bao la kwanza
Klose akiwa katika action ya kufanga bao la pili
Kapteni wa timu ya Ujerumani Michael Ballack akishangilia bao lake la tatu ambalo limeipeleka timu hiyo nusu fainali ya kumtafuta bingwa wa soka Ulaya baada ya kulaza Ureno kwa mabao 3-2, Mashindano hayo yanayofanyika nchini Uswis na Austria.
No comments:
Post a Comment