Jana usiku ilikuwa ni shangwe na vigelegele kwa mashabiki wa soka nchini Ujerumani ambao waliingia barabarani kushangilia timu yao kufanikiwa kuingia nusu fainali ya kumtafuta bingwa wa soka Ulaya baada ya kuilaza Ureno kwa mabao 3-2, baadhi ya miji barabara zote zilikuwa zimejaa watu na magari, Polisi walibidi kufanya kazi ya ziada kuhakikisha usalama unakuwepo.
MANENO MACHAFU NA KASHFA HAZINA NAFASI KATIKA KIWANJA HIKI. TUNAKARIBISHA MAONI YENYE KUJENGA NA KUELIMISHA JAMII.
June 20, 2008
Ujerumani yatinga Nusu Fainali
Jana usiku ilikuwa ni shangwe na vigelegele kwa mashabiki wa soka nchini Ujerumani ambao waliingia barabarani kushangilia timu yao kufanikiwa kuingia nusu fainali ya kumtafuta bingwa wa soka Ulaya baada ya kuilaza Ureno kwa mabao 3-2, baadhi ya miji barabara zote zilikuwa zimejaa watu na magari, Polisi walibidi kufanya kazi ya ziada kuhakikisha usalama unakuwepo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22
-
NDUGU,JAMAA, MARAFIKI NA WADAU WA BLOG HII YA JAMII NASIKITIKA KUWATAARIFU YA KUWA NIMEPATWA NA MSIBA WA MAMA YETU MPENDWA BI KHADIJA( NA...
-
blog hii bado inatengenezwa na unakaribishwa kwa maoni. Pia unakaribishwa kuangalia website yetu mpya http://kilimanjarostars.de/ .
No comments:
Post a Comment