
Dada Annanorah

Mama na Mwana Kamaldin

Baba Mama na Mwana

Bwana Harusi akimwaga wino kudhibitisha ndoa yake

Bibi harusi naye akimwaga wino mbele ya mashuhuda
Siku ya tarehe 08.08.08 ni siku ambayo haitasahauliwa kati ya bwana Seleman Mbuguni na Bi Annanorah Mwengele walipoamuwa kuachana na ukapera na kuingia katika maisha mapya kama mume na mke.
No comments:
Post a Comment