October 18, 2008

NDOA NA CHEREKOCHEREKO


Bibi na Bwana harusi wakiingia ukumbiniBwana harusi akiwapa keki wazazi wa bi harusi kama ishara ya shukrani kumpa mke mwema
Bi Harusi akiwapa keki wazazi wa Mume
Bibi na Bwana harusi wakifungua rasmi dansi

Ndugu wa bi harusi wakipeleka Zawadi
Wageni waalikwa
Bi Harusi na wazazi wake wakiwa na nyuso za Furaha
Bi harusi na mpambe wake
Wazazi wa Bi harusi
Bwana na Bibi wakitakiana maisha marefu ya ndoa yao

Bwana na Bi harusi wakiwa na nyuso zilizojaa furaha

4 comments:

Anonymous said...

Wamependeza!

Anonymous said...

hahaaa haaaa hakika wamemeremeta,mungu awape maisha ya furaha na amani,awape watoto wa kike kwa waume,mungu awalindie ndoa yao,kifo pekee ndio kiwatenganishe!
mdau Sweden!

Anonymous said...

congratulation Anna and Sele, you guys deserve each other.This day just makes perfect as it comes once in the life time.with lovely son like that is just so sweet.
stronger together there are difficult time ahead but with love trust and comitment everything will be just fine!!!
God bless you all.

ALEX BINDE.

musa said...

bibi harusi poda imezidi halafu naona kama amenenepa sasa