November 28, 2008

Breaking News!!!!

Charles Gadi Promotions inasikitika kutangaza
kufutwa kwa Show ya Matonya kutokana na
sababu zisizo zuilika, inapenda kutanguliza kuomba
radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Asanteni,

Charles.

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22