November 12, 2008

Happy Birthday

Mdau wa blog hii ya jamii Baby Salma leo anatimiza miaka 4 !

-----------------------------------------------------------------------

Blog yetu hii inamtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa na M/mungu amjalie afya njema na Maisha marefu.

1 comment:

Anonymous said...

That girl she look just beautiful.
Think about my daughter.
Anyway namtakia maisha marefu

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22