February 18, 2009

BAADA YA KIMYA KIREFU

HAYA TENA WADAU WA  MUNICH NA VITONGOJI VYAKE KAENI MKAO WA KULA MAANA  WALE  MAPROMOTER WA MG PROMOTION NA MAMBO BADO SOUND WANAKUJA NA HARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI MPYA:
WANAWALETEENI LIVE CONCERT KUTOKA KWA WASANII MAARUFU WA MIONDOKO YA BONGO FLAVA 
TAARIFA ZAIDI ZINAWAJIA MUDA MFUPI HUJAO.

No comments: