February 08, 2009

HAPPY BIRTHDAY

MZEE  LUKONGA SINAMANA ULIMWENGU

ESTHER NA NEEMA
NEEMA NA TINA
JOHARI NA KEKI YA BIRTHDAY
JANA USIKU TUMESHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA YA MZEE WETU LUKONGA KWA KUTIMIZA  (MIAKA KAPUNI) 
SHEREHE  HIYO NDOGO AMBAYO ILIFANA SANA  ILIFANYIKA  NYUMBANI KWAKE KATIKA MJI WA MUNICH  ILIHUDHURIWA NA WAGENI KUTOKA MATAIFA MBALI MBALI.

1 comment:

heri said...

lichá ya kuwa sikuwepo lakini tunamtakia maisha marefu mzee ulimwengu.

haaaappy birthdaaaaay