February 08, 2009

IL BRACINO NIGHT CLUB

MAJI YAKIZIDI UNGA
DJ OMMY BOY
SECURITY
MMILIKI NA MAI WAIFU WAKE

NGOMA MPAKA MAJOGOO
MUZIKI UNOGILE
WADAU WAKISTAREHE KWA RAHA ZAO

ILE CLUB MAARAFU KATIKA MJI WA AUGSBURG AMBAYO UPIGWA  MIZIKI YA KIAFRIKA NA HIPHOP IJULIKANAYO KAMA PAPARAZZI SASA IMEBADILISHA JINA NA KUITWA  IL BRACINO NIGHT CLUB. 
KAMERA YA JAMII  ILIPITA MITAA HIYO JANA USIKU KUJIONEA MAMBO YALIVYO.

No comments: