March 03, 2009

MISS TANZANIA EU 2009 REGISTRATION‏JIANDIKISHE SASA MISS TANZANIA EU 2009


Je wewe ni msichana mrembo mwenye sifa zifuatazo:-
• Umri kati ya miaka 18 - 24
• Mtanzania unayeishi katika moja ya nchi 27 za umoja wa Ulaya EU
• Tabasamu zuri, umbo zuri na mvuto, nidhamu na ufahamu wa kujibu
maswali.
• Unauwezo wa kujieleza na kuwa balozi wa nchi yako Tanzania
Tuma maombi yako ukiambatanisha na picha :-

info@misstanzania.eu

MADHUMUNI YA MISS TANZANIA EU NI PAMOJA NA:

• Kujenga uhusiano kati ya watanzania wa ughaibuni na wale
wanyumbani
• Kuinua vipaji vya wasichana
• Kutangaza nchi yetu, kiutamaduni na kiutalii.
• Kutangaza na kutoa ajira kwa wasanii
• Kuelimisha na kuburudisha jamii.

maelezo zaidi piga simu : 
+ 49 174 456 565644
+49 1520 588 0836

No comments: