March 03, 2009

AFRO MUSIC LIVE STOCKHOLM


Wapenzi wa Muziki Stockholm mnakaribishwa katika Diner and Dance.

Muziki utaporomoshwa na Vumbi Dekula,Sammy Kasule na Makonde Band katika Ethiostar Restaurant
Tarehe 6.Machi.2009
Saltmätargatan 19A,
T-Ban RÃ¥dmansgatan
Kuanzia Saa 3 mpaka 7 Usiku

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: