October 07, 2009

ZAINA NA THOMAS WAMEREMETA

BWANA NA BI HARUSI


BI HARUSI NA BABA MKWESIKU YA JUMAMOSI TAREHE 03.10.09
BI ZAINA NA BWANA THOMAS WALIFUNGA NDOA KATIKA MJI WA INGOLSTADT NCHINI UJERUMANI BI HARUSI NI RAIA WA TANZANIA NA BWANA HARUSI NI RAIA WA UJERUMANI.BAADA YA NDOA KULIKUWA NA SHEREHE AMBAYO ILIFANA SANA NA KUHUDHURIWA NA WATU MAARUFU SANA KUTOKA JIMBO LA BAVARIA.

6 comments:

Anonymous said...

Vipi Malumbo?Picha za tuliohudhuria ziko wapi????na mda wote ulikuwa watupiga picha????Naomba usibane maoni yangu bali utuwekee hizo picha kama ufanyavyo na picha za party.

Anonymous said...

Kwani Bi harusi mjamzito???Lol,nawatakia kila la kheri.

Anonymous said...

Kaka wa nani hii si ulikuwepo na Bi harusi wako mtarajiwa??Mlimeremeta pia,mbona picha ya bi.harusi bila wewe????
dj

khalid said...

biharusi mjamzito hapo wanasubiri mtoto wa tatu

Anonymous said...

doo! mpiga piga picha naona mpenzi kwa picha za party jee uko wapi? na siki ni lini?

wakati mwema

Anonymous said...

Malumbo,kuuliza sio ujinga,bi harusi wa kwako ana dadake mdogo??Naomba namba ya simu.