June 01, 2009

Air-France yapata ajali Brazil

Ndege ya Shirika la ndege la Ufaransa Air France inasadikiwa kuwa imepata ajali na watu wapatao 228 kupoteza maisha. Ndege hiyo ambayo ilikuwa inatokea Rio kuelekea Paris imepoteza mawasiliana baada ya kuruka, inadhaniwa kuwa ndege hiyo airbus 330 imekumbwa na radi wakati wa kuruka na kupoteza mawasiliano na kituo cha kuongozea ndege, watafiti wa Ajali za ndege kutoka ufaransa wakishirikiana na wenzao kutoka Brazili bado wanaitafuta ndege hiyo.
habari zaidi zinafuata baadae kujua zaidi kilichotokea

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22