July 01, 2009

KUMRADHI WADAU

NAWATAKENI RADHI WADAU WA BLOG YETU HII YA JAMII KUTOKANA NA UKIMYA WA MUDA MREFU:
KUNAKO MAJALIWA NIKIFIKA SALAMA SAFARI YANGU TUTALIENDELEZA LIBENEKE KAMA KAWA.
NAWAOMBENI TENA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI KWA MUDA.

MALUMBO

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22