July 10, 2009

SUMMER JAM MUNICH


HAYA TENA WADAU WA MUNICH NA VITONGOJI VYAKE BLOG YENU YA JAMII WAKISHIRIKIANA NA KILI STARS WANAWAKARIBISHENI TENA KATIKA SUMMER JAM LA NGUVU LITAKALOFANYIKA KATIKA MJI WA MÜCHEN SIKU YA JUMAMOSI
TAREHE 1.AUG KUANZIA SAA 2 USIKU MPAKA MAJOGOO

HUSINGOJE KUHADITHIWA NJOO UJIONE MWENYEWE.

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22