January 12, 2010

MDAU WA LEO

8 comments:

Anonymous said...

Mbona mdau hana pose?Mpiga picha huambii watu kuna kupose kwa picha kama hii???

Anonymous said...

Ukianza hivi,kuna kile unachokifuata.Tunadhani umefika kwa Bi. Maryam na kumbe bado!!!Utatulia lini jamani??????LOL;tafadhali usinibanie maoni yangu.

Anonymous said...

What's soo special in her????She is not cute wacha tuseme ukweli,kwanza hiyo miguu yake,dah!yaani sisemi.

Anonymous said...

mdua mwenyewe mrembo.afaa awekwe mrembo wa wiki pia.

Anonymous said...

Hahhahahaaaaaa Huyo ndio Malumbo's junior A.K.A Plaboy lol...mlikuwa hamjui??????Gooo boy,enjoy ur life!usiibanie maana zingine unabana lol..nn maana ya maoni ukiwa unayaweka kapuni?????

Anonymous said...

sas umezidi ujatulia kabisa we bwana ni mapepe, mapepe mapepe

Anonymous said...

we mapepe mbona maoni yangu hukujawek.
mapepe mapepe-

Anonymous said...

haya nami nitakuja uniweke pia mrembo wa mwezi haaaaaaaa