March 23, 2010

NITASOMA MOBILE

Mshindi katika draw ya NITASOMA iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuo
kikuu cha Tumaini Iringa.
Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshinda
zawadi ya kila wiki ijulikanayo NITASOMA MOBILE .
Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali
zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu. Kupaitia ujumbe NITASOMA kwenda
15767
Pitia www.nitasoma.com kwa maelezo zaidi.

ELIMU KWANZA

No comments: