March 23, 2010

SEMINAR YA MAWAKALA WA MISS TANZANIAMkurugenzi wa 4Layers (T) Ltd. na pia ni wakala wa Miss tanzania EU Nashesha Mvungi,wa kwanza kulia akishiriki katika Semina elekezi kwa mawakala wa miss Tanzania kutoka ndani na nje ya Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe jijini Dar es salaam

No comments: