HAYA TENA WADAU WA MÜNCHEN NA VITONGOJI VYAKE SUMMER NDIO HIYO IKO NJIANI NA WANA KILI STARS WAMEWAANDALIA PARTY YA KUKATA NA SHOKA SIKU YA JUMAMOSI
TAREHE: 1.MAY
TIME 20:00 HRS ( SAA MBILI USIKU) HADI MAJOGOO
SEHEMU: WEGENER STR. 7
U-BAHN HARTHOF
KIINGILIO: 5 €
DON´T MISS
No comments:
Post a Comment