May 27, 2010

DEKULA KUTIMUA VUMBI NDANI YA FINNLAND

DEKULA NA KIKOSI CHAKE

FESTIVAL YA WABONGO NCHINI FINLAND "FEST AFRIKA"
IMEMUALIKA MWANAMUZIKI DEKULA KAHANGA NA BENDI YAKE
MJINI TAMPERE KUTIMUA VUMBI... TAREHE 02/ JULAI/ 2010...
FESTIVAL HIYO AMBAYO IMEWAHI KUWAALIKA WANAMUZIKI KAMA
TABIA MWANJELWA,JAH KIMBUTE NA BENDI YA NGOMA AFRIKA (FFU)
NI MOJA YA FESTIVAL KUBWA KATIKA NCHI ZA SCANDINAVIA

No comments: